Mwenye kuelewa kuhusu NIT

Mwenye kuelewa kuhusu NIT

Mwa chando

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2013
Posts
359
Reaction score
122
hivi chuo cha National institute of tax NIT ina soko gan kwa ajira tanzania naomba mnisaidi maana kuna mdogo wangu anataka kwenda pale je anaweza kufanikiwa akimaliza elimu yake!
 
kwa upeo nilionao NIT ni national instute of transport,hiko cha kodi cjui kinaitwaje,hapo nit kuna kozi za eng....
 
Kweli NIT ni chuo kinachokubalika kitaifa, lakini nawashauri/namshauri asisome kwa kutegemea ajira zaidi, asome kwa kutegemea kujiajiri. Kwa hiyo mhakikishe kozi anayosoma itaendana na mazingira mtakayomuandalia kwa ajili ya kujiajiri. Ajira zipo chache sana kwa watu binafsi ambao na mishahara yao sio ya kumtoa mtu kimaisha, serikalini ajira hakuna na zinapotokea ni mpaka watoto wa vigogo wapate kwanza ndiyo wengine maelfu mgombanie mabaki.
 
Kijana course nyingi zipo za maana zitakazokuwezesha wewe kufanya kazi sehemu yoyote duniani sio nchini tu, maeneo ya kazi, airport, bandarini, viwandani na makampuni makubwa yote, course ni kama Procurement and logistics management, transport and logistics, automobile engineering, urubani, human resources, BBA n.k, hivyo ni chuo kizuri, ajira zipo tu coz siku hizi ni channel, kama huna pia kwa elimu unayoipata unaweza kujiajili mwenyewe, kwani wanafundisha ujasiriamali!!
 
ni chuo kizuri sana kwa maswala ya logistic na transport. ukitoka pale ni rahisi kujiajiri unaweza kufungua kampuni ya usafirishaji. lakini pia kuna course nyingine
 
Back
Top Bottom