Mwenye kufahamu CV ya Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

Mwenye kufahamu CV ya Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo kwa Wanafunzi wa Elimu ya Juu

M.Rutabo

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2015
Posts
1,031
Reaction score
2,647
Wakuu Kama Kuna member yeyote anafahamu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu wasifu wake anisaidie nipate kumfahamu vizuri maana jamaa naona kama ni kichwa kwelikweli na akiongea anaongea kwa msisitizo kabisa.
 
Wew naona bado unalamba boom; subiri uje kwa anko lifuguma akulambe aslimia 15 sidhani kama utahitaji sio cv
 
Naona siku hizi jamaa wamewekewa na fingerprint ukiweka kidole dk 30 mzigo unasoma. Eti vijana hii ni kweli?
 
Wew naona bado unalamba boom; subiri uje kwa anko lifuguma akulambe aslimia 15 sidhani kama utahitaji sio cv
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119]

Kumkoma nyani geradi
 
Huko Bodi huwa wana majibu ya mkato sana.

Niliwahi waendea hadi kwa katibu wao mkuu ndo kunisaidia binti yangu kupata mkopo.

Watoto wetu sie maskini wana nyanyasika mno huko bodi
 
Back
Top Bottom