M.Rutabo JF-Expert Member Joined Apr 8, 2015 Posts 1,031 Reaction score 2,647 May 30, 2020 #1 Wakuu Kama Kuna member yeyote anafahamu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu wasifu wake anisaidie nipate kumfahamu vizuri maana jamaa naona kama ni kichwa kwelikweli na akiongea anaongea kwa msisitizo kabisa.
Wakuu Kama Kuna member yeyote anafahamu Mkurugenzi Mkuu wa Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi Elimu ya Juu wasifu wake anisaidie nipate kumfahamu vizuri maana jamaa naona kama ni kichwa kwelikweli na akiongea anaongea kwa msisitizo kabisa.
mchumi tumbo JF-Expert Member Joined Mar 2, 2018 Posts 832 Reaction score 992 May 30, 2020 #2 Badru?.Ngoja wajuzi waje wakumwagie wasifu
Natafuta kiki JF-Expert Member Joined Dec 27, 2016 Posts 911 Reaction score 1,294 May 30, 2020 #3 Wew naona bado unalamba boom; subiri uje kwa anko lifuguma akulambe aslimia 15 sidhani kama utahitaji sio cv
Wew naona bado unalamba boom; subiri uje kwa anko lifuguma akulambe aslimia 15 sidhani kama utahitaji sio cv
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,661 Reaction score 21,656 May 30, 2020 #4 Naona siku hizi jamaa wamewekewa na fingerprint ukiweka kidole dk 30 mzigo unasoma. Eti vijana hii ni kweli?
Naona siku hizi jamaa wamewekewa na fingerprint ukiweka kidole dk 30 mzigo unasoma. Eti vijana hii ni kweli?
Heisenberg JF-Expert Member Joined Apr 26, 2017 Posts 1,691 Reaction score 2,967 May 30, 2020 #5 Natafuta kiki said: Wew naona bado unalamba boom; subiri uje kwa anko lifuguma akulambe aslimia 15 sidhani kama utahitaji sio cv Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119] Kumkoma nyani geradi
Natafuta kiki said: Wew naona bado unalamba boom; subiri uje kwa anko lifuguma akulambe aslimia 15 sidhani kama utahitaji sio cv Click to expand... [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji119] Kumkoma nyani geradi
Mamndenyi JF-Expert Member Joined Apr 11, 2011 Posts 43,242 Reaction score 60,939 May 30, 2020 #6 Huko Bodi huwa wana majibu ya mkato sana. Niliwahi waendea hadi kwa katibu wao mkuu ndo kunisaidia binti yangu kupata mkopo. Watoto wetu sie maskini wana nyanyasika mno huko bodi
Huko Bodi huwa wana majibu ya mkato sana. Niliwahi waendea hadi kwa katibu wao mkuu ndo kunisaidia binti yangu kupata mkopo. Watoto wetu sie maskini wana nyanyasika mno huko bodi