Mwenye kufahamu jina la hiki kifaa

Mwenye kufahamu jina la hiki kifaa

jokotinda_Jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2022
Posts
882
Reaction score
1,536
Leo katika pita pita zangu nimekiokota hii kifaa kinatumika kwenye nini na kinaitwaje .... maana nimejikuta nawaza pesa tu ukizingatia na hii hali ya mvua mvua biashara ngumu ....
Natanguliza shukurani
Screenshot_20220428-185910_Twitter.jpg
 
😃😃😃 wanaita eti spana malaya yenyewe inafungua sehemu nyingi sana,, hiyo ukiuza labda kwa mafundi baskeli tena buku 2 tu,,, kaa nayo mkuu uwe unafungia kitanda basi
 
Hapo tayari umeula mkuu, hicho ni chuma cha mjerumani, vile vinatafutwa sana miaka nenda rudi.
Hapo kila kitundu hukosi milioni 4 kama utauza kwa bei ya hasara.
Sasa milioni 4 ukizidisha kwa hayo matundu 14 piga hesabu utakuwa na milioni ngapi.
 
Upo serious mkuu nsije vamiwa maana kuna jirani yangu hapa nime mwonyesha akaipiga picha
 
Leo katika pita pita zangu nimekiokota hii kifaa kinatumika kwenye nini na kinaitwaje .... maana nimejikuta nawaza pesa tu ukizingatia na hii hali ya mvua mvua biashara ngumu ....
Natanguliza shukurani View attachment 2203981
Hii ni spana miaka ya 90 ilijulikana kama malaya inafungua kila bolt. Ni mbadara wa ile spana ya kuadjust
 
Hapo tayari umeula mkuu, hicho ni chuma cha mjerumani, vile vinatafutwa sana miaka nenda rudi.
Hapo kila kitundu hukosi milioni 4 kama utauza kwa bei ya hasara.
Sasa milioni 4 ukizidisha kwa hayo matundu 14 piga hesabu utakuwa na milioni ngapi.
Walah we ni fala
 
Back
Top Bottom