jokotinda_Jr
JF-Expert Member
- Apr 9, 2022
- 882
- 1,536
Nimejikuta nacheka ....ukizingatia mawazo yangu ya awali [emoji23][emoji23]Spana slayqueen au spana amberRuty
Upo serious mkuu nsije vamiwa maana kuna jirani yangu hapa nime mwonyesha akaipiga pichaHapo tayari umeula mkuu, hicho ni chuma cha mjerumani, vile vinatafutwa sana miaka nenda rudi.
Hapo kila kitundu hukosi milioni 4 kama utauza kwa bei ya hasara.
Sasa milioni 4 ukizidisha kwa hayo matundu 14 piga hesabu utakuwa na milioni ngapi.
Hii ni spana miaka ya 90 ilijulikana kama malaya inafungua kila bolt. Ni mbadara wa ile spana ya kuadjustLeo katika pita pita zangu nimekiokota hii kifaa kinatumika kwenye nini na kinaitwaje .... maana nimejikuta nawaza pesa tu ukizingatia na hii hali ya mvua mvua biashara ngumu ....
Natanguliza shukurani View attachment 2203981
Walah we ni falaHapo tayari umeula mkuu, hicho ni chuma cha mjerumani, vile vinatafutwa sana miaka nenda rudi.
Hapo kila kitundu hukosi milioni 4 kama utauza kwa bei ya hasara.
Sasa milioni 4 ukizidisha kwa hayo matundu 14 piga hesabu utakuwa na milioni ngapi.