Naomba kujuzwa Kwa utaratibu wa kubadilisha jina Kwa mtumishi wa umma kwenye I'd yangu ya NIDA Ili majina yaende sawa ,kama iliyo kwenye ajira yangu ,nawasilisha nilishaenda NIDA ila walivyogundua mimi ni mwajiriwa hawakuendelea,na hili jambo linakuwa ni changamoto kwangu