Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 12,463
- 27,556
Wakuu nauliza huenda mwaka huu kabla ya pasaka nikawa visiwani kwa wala urojo mimi na wife hivyo nahitaji kujua nauli ya mtu mmoja mwanza to Zanzibar ama Zanzibar to Mwanza nauli ni sh ngapi?
Nakadiria kufanya booking mapema zaidi kati ya siku 21 hadi mwezi.
Mwenye Taarifa za uhakika anipe hapa niandae bajeti kamili.
Ahsante sana
Nakadiria kufanya booking mapema zaidi kati ya siku 21 hadi mwezi.
Mwenye Taarifa za uhakika anipe hapa niandae bajeti kamili.
Ahsante sana