Ndio amesema anataka dhehebu kwani hujasoma hapo juuKwani amesema anataka dhehebu la wasio Amini uwepo wa Mungu?
Hivi kwa Mfano UDOM ni dhehebu?
Kama ni hivyo, kwamba anataka kanisa/dhehebu la atheist, hawezi kulipata!Ndio amesema anataka dhehebu kwani hujasoma hapo juu
Kwa maana nyingine, ni kuwa unatafuta shule au chuo Cha wagonjwa wa akili.Salamu wakuu,
Kama mada inavyosema hapo juu nina shauku ya kujua mahali ambapo kuna madhehebu au sehemu ambayo kuna watu wanatoa elimu ya watu wasioamini uwepo wa Mungu nahitaji kujua maana nina shida ya kujua mambo ya upande huo.
Natanguliza shukrani 🙏🙏
Jifunze kusoma kwa ufahamu kabla ya kujadili.Kwani amesema anataka dhehebu la wasio Amini uwepo wa Mungu?
Hivi kwa Mfano UDOM ni dhehebu?
Thanks much. The Best response