Mtu mbalimbali JF-Expert Member Joined Sep 22, 2018 Posts 551 Reaction score 895 Apr 16, 2024 #21 aise said: View attachment 2965449 Click to expand... Uzi uliishia hapa ndugu mtoa mada
K Kisai JF-Expert Member Joined Apr 6, 2018 Posts 28,481 Reaction score 28,749 Apr 16, 2024 #22 Bulaya001 said: Huna unachokijua… kaa kimya mjinga Click to expand... Kama una hoja ziweke hapa, uone kama hujaukimbia huu uzi.
Bulaya001 said: Huna unachokijua… kaa kimya mjinga Click to expand... Kama una hoja ziweke hapa, uone kama hujaukimbia huu uzi.
min -me JF-Expert Member Joined Jul 20, 2022 Posts 23,322 Reaction score 64,738 Apr 16, 2024 #23 Ni kama kufungua darasa kujifunza kuwa magufuli hayupo tena duniani, magufuli hayupo ni hayupo tu haihitaji darasa kudanganywa kuwa yupo.
Ni kama kufungua darasa kujifunza kuwa magufuli hayupo tena duniani, magufuli hayupo ni hayupo tu haihitaji darasa kudanganywa kuwa yupo.
Aigle JF-Expert Member Joined Jul 4, 2020 Posts 1,540 Reaction score 7,973 Apr 16, 2024 #24 Bulaya001 said: Watu wana focus na hoja zao na sio mada tajwa hapo juu Click to expand... Pole mkuu. Si unajua watanzania wengi wanaugua ugonjwa wa akili na hii ni kutokana na umaskini uliokithiri.
Bulaya001 said: Watu wana focus na hoja zao na sio mada tajwa hapo juu Click to expand... Pole mkuu. Si unajua watanzania wengi wanaugua ugonjwa wa akili na hii ni kutokana na umaskini uliokithiri.