Mwenye kufahamu shule za Cambridge

Mwenye kufahamu shule za Cambridge

Uungwana Vitendo

JF-Expert Member
Joined
Nov 20, 2013
Posts
1,323
Reaction score
508
Habari wakuu.

Nina ndugu yangu anatafuta shule za Cambridge ambazo zinafanya mitihani ya nje. Mwenye ufahamu wa hizo shule zaidi ya ALMUNTAZIR na MZIZIMA hajazipenda.Mwenye kujua zingine ambazo zimesajiliwa kwa A Level.

Naomba wakuu!
 
Dar es Salaam Independent School (D.I.S.)-high school iko Mbweni, Dar. Kwa details fika pale primary school yao Mikocheni karibu na nyumbani kwa Rais Mstaafu Mzee Ali Hassan mwinyi.
 
Back
Top Bottom