Uungwana Vitendo
JF-Expert Member
- Nov 20, 2013
- 1,323
- 508
Habari wakuu.
Nina ndugu yangu anatafuta shule za Cambridge ambazo zinafanya mitihani ya nje. Mwenye ufahamu wa hizo shule zaidi ya ALMUNTAZIR na MZIZIMA hajazipenda.Mwenye kujua zingine ambazo zimesajiliwa kwa A Level.
Naomba wakuu!