Uhuru24
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 4,523
- 5,159
Habarini wakuu, nina project ya kufuaga niliiyanza muda ila nimebaini changamoto za yule kijana anaekaa pale shambani, naona sio msimamizi mzuri harafu utakuta bata anataga mayai ila yeye anakwambia bata anakula mayai yake mwenyewe.
Sasa nina mpango wa kumuondoa lakini nikaja na wazo lingine kwamba nikataka kununu mashine ndogo hzi za kutotolesha mayai kuanzia 30 kwa kianzio.
Sasa nimekutana na changamoto ya watu kusema zile mashine kuna baadhi husumbua hasa za kutoka China na kuna mwingine akaniambia mbona kuna watu wanatotolesha mayai tu wewe unawapelekea mayai yako wanakutotoleshea na mwingine kasema wengine hufanya biashara ya kuuza vifaranga kabisa.
Sasa nimehangaika sana sijapata fununu ya wapi na nani hufanya shughuli hizo kwa jijini Dar, maana inakuwa ngumu kwa sababu ile biashara haipo wazi labda kila mtu ataiyona.
Mwenye connection hasa mahali panapofanyika anaweza kunielekeza