INAUZWA Mwenye kuhitaji Baiskeli Used kutoka Ulaya kwa jumla anitafute

INAUZWA Mwenye kuhitaji Baiskeli Used kutoka Ulaya kwa jumla anitafute

DALA

JF-Expert Member
Joined
Aug 24, 2009
Posts
2,256
Reaction score
4,647
Habari wanajukwaa,

Nina fursa ya kusambaza baiskeli kutoka Finland kwa nchi za Afrika Mashariki.

Mnunuzi wa jumla anakaribishwa kwa maongezi ya biashara.
IMG_0915.jpg

IMG_0911.jpg
 
Nafikiri utaweka bei sasaa,humu si jukwaa la matapeli na wahuni wa kufatana inbox.
Kama una hakika na biashara yako na si ya kuumiza mtu KWA hofu ya competition KWA nn usitoe tangazo la kujitosheleza?

Unataka tuanze kuuliza bei hovyo humu!!

Tuliza wenge wewe. Povu la nini?
 
We ni Dalali tu

Ukweli ni kwamba sijaamua bei hivyo ni mazungumzo. Vigezo vya kuzingatia katika majadiliano ni gharama za usafirishaji mpaka bandarini Dar. Endapo nitagharamia hiyo basi bei itapanda lakini kama no juu ya mteja basi bei inaweza kuwa chee
 
maelezo hayajajitosheleza kwasababu hujaweka bei ya wewe ulileta hadi Dar or mteja akisafirisha mwenyewe kutoka huko Ughaibuni.

Kwangu mimi mpaka mzigo kufika Daa kwa container ya futi 40 ni 5000€ na humo nafikiria kujaza baiskeli isiyopungua 500
 
Back
Top Bottom