INAUZWA Mwenye kuhitaji Baiskeli Used kutoka Ulaya kwa jumla anitafute

Ukweli ni kwamba sijaamua bei hivyo ni mazungumzo. Vigezo vya kuzingatia katika majadiliano ni gharama za usafirishaji mpaka bandarini Dar. Endapo nitagharamia hiyo basi bei itapanda lakini kama no juu ya mteja basi bei inaweza kuwa chee
Fanya tafiti kwanza kwa kuzingatia garama zako za manunuzi/kuokota, garama za kusafirisha, kodi mbalimbali halafu upige hesabu kuwa kwa wastani mnunuzi atanunua kwa bei gani ukiwa na wewe umekwishafix faida yako huku ukizingatia kuwa makorokocho kama hayo wapemba wanakwenda kuyazoa kwa mafungu huko dubai na yamejaa bongo. Kitu kitakachovutia wateja kwako ni bei ( watanzania tunapenda kitonga/ kikatiti kwa sadala) ubora wa kitu kiwe kina utofauti na zilizopo mitaani. Hivyo ili kuvutia watu suala la kukadiria bei huwezi kuliepuka
 
Sawa mkuu
 
Vp mkuu naweza kupata baiskeli zinazotumia umeme yan namaanisha zitumia betr
 
Wacha ukanjanja,baiskel yeyote ya gia unaweza pata Zanzibar kwa 50k,ila usafiri juu yako
 
Vp mkuu naweza kupata baiskeli zinazotumia umeme yan namaanisha zitumia betr

Baiskeli za umeme zipo ila kusema kweli ni za bei mbaya. Labda tukikubaliana ukanitumia hela nikakuchukulia ila mimi kuwekeza hela zangu mhh. Moja inaweza kutoka kwa 5m
 
Poa
 
Back
Top Bottom