Mwenye kuifahamu distance learning support network

Mwenye kuifahamu distance learning support network

DR. RICHARD

Senior Member
Joined
Jun 24, 2012
Posts
123
Reaction score
25
Ndugu wadau wa jukwaa hili, naomba kujua mtu yeyote mwenye kuifahamu hii taasisi kwa maana ya maslahi yao na mambo mengine kwani hivi karibuni walitangaza nafasi za kazi mimi niliomba na wamenitumia written interview questions, naona bora niwajue vizuri kwanza.

Nawasilisha:
 
Dr.Richard wewe ni kilaza!! umesema umefanya interview distance learning suport network halafu unatuuliza hii taasisi inajihusisha na nini!!! wewe ni kilaza wa kukopi na kupesti! Kawaulize The comedy wa TBC.
 
Ka labda sijaeleweka 2, nimesema wamenitumia written interview questions, kwa maana kwamba bado sijayajibu hayo maswali, naomba nisome vizuri
 
Back
Top Bottom