sbc fashion plus
Member
- Nov 22, 2020
- 23
- 11
Picha: Honda Crossroad
Habari wakuu umu ndani kuna watu wa maana sana na nawa amini sana mwaka juzi mlinishauri kuhusu Rumiona nikaenda kununua na sijajutia, yaani nimefurahia sana.
Sasa nataka kununua Honda Crossroad naomba mwenye uzoefu na hii gari please anisaidie mawazo namba yangu 0712432619.
Naomba anipe uzoefu wake kwa hii ndinga, asanteni sana.