Mwenye kuifahamu Honda Crossroad

Mwenye kuifahamu Honda Crossroad

Jamaa wananiogopesha wanasema inakula were sana, spea ghali, na pia ni nyepesi sana road
Sio kweli mkuu.Hii gari unaanza kuihisi nyepesi ukifika speed 140 labda ila chini ya hapo unaweza jiona unaendesha speed ya kawaida kumbe upo speed balaa😀 sababu huhisi kabisa kupepesuka. Spea bei yake zipo juu ila ila sio sana kiivyo hazitofautiani na subaru au Nissan.Kila naempa hii gari kuendesha highway anaikubali.Trust me hutajutia muhimu ni kufanya service ontime and kuweka oil zilokuwa recommended na manufacturer wa gari.Achana na mafundi maiko.
 
Safi mkuu. Wese inakulaje
 
Mpaka sasa unaweza kusema tatizo lake kubwa ni nini Kiongozi
Hizi gari bado sio za siku nyingi sana hivo wengi hazijaanza kusumbua. Shida tu ikiwa na full seat 7 inanesa sana kwenye barabara zenye shida kama ile ya mwanza msoma ukikaribia lamadi. Ila road zimetulia vizuri pia ule mwonekano wa hummer kwangu mm ni unyama mtupu.
 
Bro! natafuta shockup za nyuma za hii gari kama kunasehem wajua naweza pata
 
Shida ya hizi gari ni shockup za nyuma, nenda mtaa wa lindi utazipata njoo pm nikupe namba ya mshkaji utampigia anaitwa amiri
Aisee mkuu anzisha WhatsApp group la owners wa Honda Crossroad basi,tunakua tunasaidiana ishu kama hizo za sehemu ya kupata spares, mafundi wazuri, etc. Mimi tayari nimeagiza hiyo gari iko njiani, inaingia bongo mwezi Oktoba.
Holly Star
 
mkuu vip chuma ilifika, tupe mrejesho kidogo
 
Back
Top Bottom