sbc fashion plus
Member
- Nov 22, 2020
- 23
- 11
Kwa uzoefu wangu kama muuza spare za magari ni gari nzuri ila spare zipo expensive kidg sio hyo tuh Honda spares zipo juu muhimu ni service na epukana na oil za kichina oil fake ni mbaya sana Kabsa itapelekea kuua engineHabari wakuu umu ndani kuna watu wa maana sana na nawa amini sana mwaka juzi mlinishauri kuhusu Rumiona nikaenda kununua na sijajutia, yaani nimefurahia sana...
Honda wana gari ngumu sana na ni reliable!Nnayo Honda crossroad ni mwezi wa 6 sasa tangu niiagizie kutoka Japan.Sijaona tatizo lolote mpaka sasa hasa kwenye engine.Nataka kununua gari hiyo hapo juu (Honda Crossroad) wenye uzoefu nayo au wanaoifahamu vizuri mnaiongeleaje?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hii gari inakwenda kilometa ngapi kwa lita? Je hakuna mwingiliano wa spea na gari nyingine? Asante.Honda wana gari ngumu sana na ni reliable!Nnayo Honda crossroad ni mwezi wa 6 sasa tangu niiagizie kutoka Japan.Sijaona tatizo lolote mpaka sasa hasa kwenye engine.
Nimefanya tu service ya kawaida labda na kubadili zile bush chini sababu ya barabara zetu za kibongo.Ulaji wa mafuta ni mzuri tu na gharama za kufanya service ni za kawaida. Gari ina speed na ipo stable plus comfortability ipo poa tu.
Ukiwa highway utaenjoy zaidi.Unaanza kuiona gari nyepesi ikifika 140 tofauti na gari kama harrier ukifika 100 tu unahisi inapepesuka labda upakie abiria wa kutosha.
Changamoto kubwa ni bei ya spare parts zake zinalingana na subaru au nissan sababu ni genuine. Gharama zipo juu ila uzuri ukifunga spare part ni mkataba unakaa nayo mda mrefu sio kama za toyota feki zipo
Gari inategemeana na cc. Honda crossroad kuna ya cc 1800 na 2000 cc.Ulaji wa mafuta hautofautiani sana.Yangu ya cc 1800 mjini inanipa 11-13km/l.Ulaji wa kawaida sana mkuu.Kuhusu kuingiliana na spare sina uhakika zaidi.Tangu niwe nayo nimebadili tu oil filter tu ambayo unaweza weka ya kampuni yoyote.ila kiufupi honda crossroad haina mambo mengi,haina gharama, service yake ya kawaida. Gari ni ngumu na ina muonekano mkali kwakwel😀.Nikipita sehemu lazima watu wageuke. Tatizo ni spare parts tu bei zipo juu,hii inachangiwa na wauza spare tamaa na hasa wakijua gari sio maarufu sana kama zilivyo za toyota.Mkuu hii gari inakwenda kilometa ngapi kwa lita? Je hakuna mwingiliano wa spea na gari nyingine? Asante.
Asante mkuu kwa maelezo. Ni gari nzuri kwa kweli.Gari inategemeana na cc. Honda crossroad kuna ya cc 1800 na 2000 cc.Ulaji wa mafuta hautofautiani sana.Yangu ya cc 1800 mjini inanipa 11-13km/l.Ulaji wa kawaida sana mkuu.Kuhusu kuingiliana na spare sina uhakika zaidi.Tangu niwe nayo nimebadili tu oil filter tu ambayo unaweza weka ya kampuni yoyote.ila kiufupi honda crossroad haina mambo mengi,haina gharama, service yake ya kawaida. Gari ni ngumu na ina muonekano mkali kwakwel[emoji3].Nikipita sehemu lazima watu wageuke. Tatizo ni spare parts tu bei zipo juu,hii inachangiwa na wauza spare tamaa na hasa wakijua gari sio maarufu sana kama zilivyo za toyota.
Maelezo mazuri yanayotia hamasa kabisa.Gari inategemeana na cc. Honda crossroad kuna ya cc 1800 na 2000 cc.Ulaji wa mafuta hautofautiani sana.Yangu ya cc 1800 mjini inanipa 11-13km/l.Ulaji wa kawaida sana mkuu.Kuhusu kuingiliana na spare sina uhakika zaidi.Tangu niwe nayo nimebadili tu oil filter tu ambayo unaweza weka ya kampuni yoyote.ila kiufupi honda crossroad haina mambo mengi,haina gharama, service yake ya kawaida. Gari ni ngumu na ina muonekano mkali kwakwel[emoji3].Nikipita sehemu lazima watu wageuke. Tatizo ni spare parts tu bei zipo juu,hii inachangiwa na wauza spare tamaa na hasa wakijua gari sio maarufu sana kama zilivyo za toyota.
Vipi mkuu crossroad inaendeleaje? Nataka nivute hiyo mashineGari inategemeana na cc. Honda crossroad kuna ya cc 1800 na 2000 cc.Ulaji wa mafuta hautofautiani sana.Yangu ya cc 1800 mjini inanipa 11-13km/l.Ulaji wa kawaida sana mkuu.Kuhusu kuingiliana na spare sina uhakika zaidi.Tangu niwe nayo nimebadili tu oil filter tu ambayo unaweza weka ya kampuni yoyote.ila kiufupi honda crossroad haina mambo mengi,haina gharama, service yake ya kawaida. Gari ni ngumu na ina muonekano mkali kwakwel😀.Nikipita sehemu lazima watu wageuke. Tatizo ni spare parts tu bei zipo juu,hii inachangiwa na wauza spare tamaa na hasa wakijua gari sio maarufu sana kama zilivyo za toyota.
Mkuu gari ipo poa tu kwakwel!Na enjoy kuwa nayo na wala sijutii kuinunua.Gari ngumu,muonekano mzuri na ulaji mzuri wa mafuta.Vipi mkuu crossroad inaendeleaje? Nataka nivute hiyo mashine
Jamaa wananiogopesha wanasema inakula were sana, spea ghali, na pia ni nyepesi sana roadMkuu gari ipo poa tu kwakwel!Na enjoy kuwa nayo na wala sijutii kuinunua.Gari ngumu,muonekano mzuri na ulaji mzuri wa mafuta.
Naomba photo kama itakupendeza MkuuJamaa wananiogopesha wanasema inakula were sana, spea ghali, na pia ni nyepesi sana road