Mwenye kuifahamu sekondari ya Lusanga

Mkomawatu

JF-Expert Member
Joined
Oct 13, 2012
Posts
273
Reaction score
123
Habari zenu ndugu wadau?

Mimi ni Mwalimu wa sekondari nimehamia kikazi wilaya ya Mvomero na nimepangiwa shule ya Lusanga iliyopo Turiani. nahitaji kufahamu mazingira ya mji, miundombinu yake ilivyo.
 
Popote ilipo hebu nenda kaokoe elimu ya watanzania huko.
 
Nenda kafindishe mwalimu tena kwa moyo mkunjufu tuu...
 
Kabla hujafika shule ilipo lazima upite katika poli liitwalo Tuli ambalo lina wachawi wa kutosha na wanyama wakali, vilevile kijiji hicho ilipo shule hiyo hakuna umeme wala maji hata mafuta ya taa ni ya shida ila vumilia.
 
Habari zenu ndugu wadau?

Mimi ni Mwalimu wa sekondari nimehamia kikazi wilaya ya Mvomero na nimepangiwa shule ya Lusanga iliyopo Turiani. nahitaji kufahamu mazingira ya mji, miundombinu yake ilivyo.

Nenda, nenda , nenda baba katoe BRN
 
Duh shule ya lusanga na Mimi naisikia sana nikiwa naenda huko kwenye shamba langu huko2 turiani kupita mtibwa estate
 
Habari zenu ndugu wadau?

Mimi ni Mwalimu wa sekondari nimehamia kikazi wilaya ya Mvomero na nimepangiwa shule ya Lusanga iliyopo Turiani. nahitaji kufahamu mazingira ya mji, miundombinu yake ilivyo.

Advance n single pale I mean galz tuu kuwa makini
 
ipo vzr na headmaster mwihava ukifika tu tauni unachukua boda boda ni buku tuu. umeme na maji vipo na ina mazingira mazuri utaipenda.
 
Kabla hujafika shule ilipo lazima upite katika poli liitwalo Tuli ambalo lina wachawi wa kutosha na wanyama wakali, vilevile kijiji hicho ilipo shule hiyo hakuna umeme wala maji hata mafuta ya taa ni ya shida ila vumilia.

... Mwongo sana kabisa!
Lusanga secondary ambayo sasa ni high school ipo Wilaya ya Mvomero tarafa ya Turiani, kando ya barabara iendayo Handeni ni kama km 55 toka barabara ya kwenda Dodoma imekua na umeme tangu ilipoanzishwa mwaka 1989 . Barabara ya lami kutokea Dumila - mziha inaishia Lusanga kwa Awamu hii ya kwanza ambapo zaidi ya km. 10 zimeshawekwa lami, matarajio yakiwa kukamilika kwa barabara hii kabla ya October.
Lusanga ni mojawapo ya maeneo ambayo Mtu anaepafahamu hataSita Kumwomba Mungu amjaalie kupangiwa kufundisha Pale!
Namba yangu ya simu 0774466663 Naitwa kiruwa ni mwenyeji wa Madizini .
 
Watu wengine wapo JF kubarudisha, muwe na maisha marefu!

Btw, nimewahi kwenda kiwandani Mtibwa mara mbili na kupita Lusanga, ni shule ambayo mwalimu aliyepangiwa akikimbia itabidi akimbilie shule zilizopo makao makuu ya mikoa.

Kabla hujafika shule ilipo lazima upite katika poli liitwalo Tuli ambalo lina wachawi wa kutosha na wanyama wakali, vilevile kijiji hicho ilipo shule hiyo hakuna umeme wala maji hata mafuta ya taa ni ya shida ila vumilia.
 
Habari zenu ndugu wadau?

Mimi ni Mwalimu wa sekondari nimehamia kikazi wilaya ya Mvomero na nimepangiwa shule ya Lusanga iliyopo Turiani. nahitaji kufahamu mazingira ya mji, miundombinu yake ilivyo.
Mazingira ni mazur sna unaeza ukaishi Lusanga au mji mdogo unaitwa madizin ambapo n center kubwa sna. Hongera sna nimeish huko wakat nafanya kaz mtibwa sukari napajua vizuri sna
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…