Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari zenu ndugu wadau?
Mimi ni Mwalimu wa sekondari nimehamia kikazi wilaya ya Mvomero na nimepangiwa shule ya Lusanga iliyopo Turiani. nahitaji kufahamu mazingira ya mji, miundombinu yake ilivyo.

Kabla hujafika shule ilipo lazima upite katika poli liitwalo Tuli ambalo lina wachawi wa kutosha na wanyama wakali, vilevile kijiji hicho ilipo shule hiyo hakuna umeme wala maji hata mafuta ya taa ni ya shida ila vumilia.

Mazingira ni mazur sna unaeza ukaishi Lusanga au mji mdogo unaitwa madizin ambapo n center kubwa sna. Hongera sna nimeish huko wakat nafanya kaz mtibwa sukari napajua vizuri snaHabari zenu ndugu wadau?