Zingzingzing JF-Expert Member Joined May 13, 2014 Posts 735 Reaction score 667 Jul 8, 2014 #1 Wana jamii forums naomba msaada juu ya hilo kuna kijana kachagulwa hapo. au naomba msaada wa namba ya mwalimu yoyote pale.
Wana jamii forums naomba msaada juu ya hilo kuna kijana kachagulwa hapo. au naomba msaada wa namba ya mwalimu yoyote pale.
S seanherms JF-Expert Member Joined Apr 27, 2014 Posts 547 Reaction score 428 Jul 8, 2014 #2 Ni shule nzuri sana iko sumbawanga mjini...shule za karibu ni kama kantalamba boys,lakin awe makin sana kule ngono kwa sana ...kufaulu asijali wako vizuri
Ni shule nzuri sana iko sumbawanga mjini...shule za karibu ni kama kantalamba boys,lakin awe makin sana kule ngono kwa sana ...kufaulu asijali wako vizuri