Mwenye kuijua Sumbawanga Sec School

Mwenye kuijua Sumbawanga Sec School

Zingzingzing

JF-Expert Member
Joined
May 13, 2014
Posts
735
Reaction score
667
Wana jamii forums naomba msaada juu ya hilo kuna kijana kachagulwa hapo. au naomba msaada wa namba ya mwalimu yoyote pale.
 
Ni shule nzuri sana iko sumbawanga mjini...shule za karibu ni kama kantalamba boys,lakin awe makin sana kule ngono kwa sana ...kufaulu asijali wako vizuri
 
Back
Top Bottom