Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh...sasa itakusaidiaje akiichukua?Naipenda sana.. Ichukue.
Duh...sasa itakusaidiaje akiichukua?
JF ina mambo sana.Members nimetokea kuipenda hii gari muundo wake nataka kumuagizia wife nauliza kwa yoyote mwenye kuijua vema
Je, kwa mazingira ya Tanzania itafaa?
Spear zake upatikanaji wake upoje?
Kuna mafundi wake wazuri
Vipi siku nikitaka kuiuza?
View attachment 1618767
Mitsubishi RVR
Mitsubishi Rvr ni moja kati ya gari kongwe ambazo zimekuwepo kwa muda mrefu , na kuitwa majinaya utani kama kitchen party, kutokana na aibu kampuni iliyoipata iliwalazimu kukaaa kmy kwa muda na kuja na masahihisho ya gari ambalo umbo lake ni SUV,uwezo wa gari hii ni kubeba watu 5 ,na pia inakuja na milango 5 ,kutokanana tafiti za makampuni mengi hata mitsubishi wamejitahidi kuja na engine ndogo lakini zinazotoa nguvu kubwa na matumizi machache mafuta ili kuweka kukizi kama dunia ya sasa inavyohitaji
Baadhi ya vitu vilivyo katika gari hii
[emoji91]Body Type:SUV
[emoji91]Extras😛anoramic Sunroof
[emoji91]Safety Features:ABS, Active Stability Control(ASC), [emoji91]ESC, ESS, ETACS, Hill Start, SRS Airbags
[emoji91]Exterior Features:Alloy Rims, Fog Lights
[emoji91]Interior Features:Bluetooth Connectivity, Reverse [emoji91]Camera, USB Charging Port
MAELEZO
Mitsubishi RVR,ni gari kongwe imekuwepo kwenye game tangu mwaka 1991 hadi mwaka 2002 baada ya kupata aibu ..katika toleo la mwaka 2002 ambalo wabongo waliliita kiitchen part iliwalazimu kuacha na kujipanga upya mwaka 2010 walirejea kwa kishindo sana ,nje ya soko la japan kama kule ukweni CANADA liliitwa jina la mitsubishi ASX
Ukifungua bonnet ya gari hiii kwa mbele tegemea kuona
Kwa toleo la 2013 Mitsubishi RVR inakuja na chaguo la [emoji91]1.8 Litre 4J10 SOHC MIVEC
TRANSMITION
Hapa ndio napowakubali kweli jamaa wamekuja wamejipanga na wamedhamiria upande wa gearbox
6-Speed INVECS-III sport mode CVT pia gari hii inakuja namachaguo mawili ambayo ni2WD or 4WD.
[emoji123]UPANDE WA GRADE KWA GARI HII
inakuja na sindano tatu za moto ni wewe tu na mfuko wako hebu tuone
[emoji3533][emoji3514][emoji3541] Mitsubishi RVR E – Toleo hili linakuja na mfumo wa 2WD na 4WD, 16-Inch steel rims, DVD/CD player with USB na Bluetooth, Keystart hili toleo linafaa watu wa mishe mishe sana limekaa kikaz azidi
[emoji3533][emoji3514][emoji3541] Mitsubishi RVR M – Hili ni toleo linalokuja na 2WD na 4WD, 16-Inch steel rims, Navigation/Entertainment system with USB na Bluetooth, smart start, optional Leather-trimmed steering wheel and gear knob, optional paddle shift, optional cruise control
[emoji3533][emoji3514][emoji3541] Mitsubishi RVM G-Hili ni toleo linalokuja na luxury safi kwa familia na kwenda kulia bata linakuja na chaguo la 2WD na 4WD, 17-Inch alloy rims, Multi Information Display(MID ) with USB and Bluetooth, Leather-trimmed steering wheel and gear knob, paddle shift, cruise control, rear seat center armrest with pass through storage, Rockford Fosgate Premium Sound System, Super-wide HID headlights, panorama sunroof ikiwa na LED illumination
Upande wa ndani vipi?
Hii ni gari ambayo wajapani waliuunda kwa machungu sana baada ya aibu ile waliyoipata mwaka 2002 wengine mlikuwa hamjazaliwa ,iliwapelekea kupiga collabo ya hatari upande wa ndani gari hii imeundwa kwa nafasi ya kutosha ya kuweka miguuu ,lakini pia hii imezingatiwa kwa mistari yote miwili ,viti vya gari hiii ni vipana lakini pia vimejaaa vizuri hivyo kukufanya usichoke muda wote ukiwa ndani ya gari hii
[emoji91]Cabin Storage
Mitsubishi RVR has ukiwa ndani ya gari hii hakuna kuumiza kichwa imeundwa na kuwekewa sehemu zitakazokusaidia kutunza smartphones, beverages, goggles, handbags etc.
-Mstari wa kwanza unakuwa na 4 cup-holders, door pockets, a glovebox na center tray.
-Kwa mstari wa pili unakuwa na 2 cup-holders on the armrest and front seat jacket pockets
[emoji91]Upande wa tank bwana gari hili ujazo wake ni lita 60
Upande wa mafuta liko vizuri sana linafaa na linasifa zote japo linatambaaa sana barabarani ila bado linatumia mafuta vizuri yaani hapa wanazihirisha hasira yao kurudi kuliteka soko
Mitsubishi RVR Fuel Consumption
[emoji3514][emoji3533] RVR1.8L inatumia mafuta km 18.5 kwa lita 1
Hapo ndio utaamini kwa dunia ya sasa cc haina uhusiano wowote na utumiaji wa mafuta katika gari
[emoji91] Mitsubishi RVR Acceleration
[emoji3514][emoji3533]Mitsubishi RVR accelerates kutoka 0-100 km/h kwa sec11.4
GROUND CLEARENCE
GARI hili hapa nalipa [emoji817] maana lina ground clearence nzuri sana yaani linakufanya popote unaenda bila hofu wala wac wac wowote 7.6 inch (195mm)limevuka viwango vya kawaida
[emoji3533][emoji3514]Mitsubishi RVR Safety Features:
SRS Airbags, ABS, Active Stability Control(ASC), Hill Start, Adjustable force-limiter seat belts, SRS Knee airbags for driver, Side and Curtain Airbags, Emergency Stop Signal System(ESS), ETACS
Mambo ya kuzingatia ukitaka kulifaidi gari hili
[emoji3514][emoji3533]1.usinunue gari hili lenye km zaidi 1,35000
Utapata shida sana kwenye gear box jitahidi kuchukua lilo chiñi ya hizo km
[emoji3514][emoji3533]2.likague mara kwa mara transmition flood kama linavuja hii itakusaidia gear box idumu
[emoji3514][emoji3533]3.soma manual ya kitabu wa tz hatupend kusoma kbs ndio maana tunaharibu magari soma kitabu hii itakusaidia sana maana kuna magari ambayo hayapendi magumashi kabisa
[emoji3514][emoji3533]Mitsubishi RVR Stability and Handling
RVR inakuja na electric power steering system ambayo inapelekea gari hii kuwa laini sana kwenye steering wheel , na hivyo kurahisisha zoezi la uendeshji wake Unapokuws na gari hili hata katia mwendo mkali higher speeds, inapelkea kufanya body roll katika maeneo ya corners , tatizo hili haliwahusu madreva wanaofata sheria zote ikuwa ni pamoja na kuzingatia kupunguza kwenye kona...mwendo vinginevyo utajikuta limekushinda upo kwenye mafriji machwari . Upande wa 4WD inakuja na better handling kutokana na nguvu inayosukuma tairi zote nne ,,pia teknolojia iliyotumika hasa ya electronic system that tailors traction to the wheels based on driving conditions. The driver also has the option of selecting three driving modes – 2WD
MATUNZO YA SERVICE
[emoji91][emoji259]Minor Service- At 10,000 km. Requires Air Cleaner, Oil Filter, and Engine Oil
[emoji419]Major Service – At 15,000km. Requires Air Cleaner, Oil Filter, Fuel Filter, ATF Filter, Cabin Filter, Plugs, Front Brake Pads, Rear Brake Pads, ATF Oil, and Engine Oil
Spare zake
[emoji419]Safety Features: SRS Airbags, ABS, Active Stability Control(ESC), Adjustable force-limiter seat belts, SRS Knee airbags for driver, Side and Curtain Airbags, Emergency Stop Signal System(ESS), ETACS, Active Stability Control(ASC) and Hill Start
KWA NINI UNUNHE HII GARI
1. Good fuel economy
2. Spacious interior
3. Sporty exterior look
Zipo zinapatikana ila bei ni mkasi sana
KITU AMBACHO SIJAPENDA KATIKA GARI HII
[emoji419]BEI YAKE NI KUBWA MNO MILION 27, (overpriced)
wakati kwa hela hiyo nakamata gari kali sna kutoka ujerumani wajapani wajitathimini
Upande wa soko inashindana na magari yafatayo
Mitsubishi RVR Competitors: Nissan Juke, Subaru XV, Nissan Dualis and Honda Vezel
Mwisho
Usiitathimi ubora wa gari kwa kuangalia spare za gari upatikanaji wake ...gari linatengenezwa kuendeshwa kama umeweza kuagiza gari japani utashindwa kuagiza spear ilala shauli moyo au ilala boma ...kuharibika mara nyingi huwa ni matokeo ya utunzaji mbaya , kutofata muongozo wa mtengenezaji wa gari ... Kama unataka kitu kizuri basi jitahidi kujitofautisha na wengine karibu katika huyu mnyama aliyeundwa kwa uchungu mkubwa na wajapani
Bei ni ya gari hili ni Milion 27
Kwa huduma ya ufanunuzi wa gariri lolote kitaalamu kwa kuzingatia vigezo muhimu unawez kujiunga fb kupitia group ?TANZANIA USED CAR MARKET ) Utakuwa unajifunza magari mbalimbali
sent from HUAWEI

Hiyo 19 ni ya mwaka gani na ina km ngapi ? Mi vitu vya msingi sana katika soko la gari vinaweza kupandisha bei au kushushaJaninternational anaiuza mpaka 19m