Habarini za asubuhi naombeni kujua huu mradi wa ela nyingi nimesikia umeanzishwa uko LINDI na nadhani utahitaji watu mbalimbali.
Naomba kujua nafasi za kazi zinapatikana vipi uko, maana mimi nipo mbali kidogo nipo mkoani KIGOMA huku nilitaka kujua ili nijue naanzia wapi kutafuta kazi huko wakuu.
Mliopo karibu na mradi naombeni msaada wenu au mnao jua kinacho endelea uko kuhusu ajira naombeni mnijuze.