Mwenye kujua alipo Mr Nice

Mwenye kujua alipo Mr Nice

Mara ya mwisho nilimuona Geita,alikuwa kapigika kweli!Akanunuliwa bia 4 akapanda kuimba nyimbo zake 2
 
Hama kweli wakati ni ukuta.....Mr 9c kutoka kutembea na mabaunsa 10 na msululu wa magari kila sehemu,Leo hii anaishi kama digidigi.
 
Back
Top Bottom