kikoozi
JF-Expert Member
- Jun 24, 2015
- 2,094
- 3,108
Habari ndugu zangu, kama kicha cha habari kinavyo sema hapo juu, nina ugeni wa mtu wangu ambaye atakaa kama siku 14 (week mbili), sasa nilitaka kupata aprtiment nzuri yenye kila kitu ndani WIFI ISIKOSEKANE (kuanzia maeneo ya kiluvya, kibamba, mbezi, goba, kimara, tabata, ubungo , sinza, mlimani, mwenge) SIITAJI kwa maeneo yote ya wilaya ya KIGAMBONI NA TEMEKE, pia BUNJU-BOKO-TEGETA NO. naomba kwa mwenye kujua aprtment nzuri maeneo hayo na bei rafiki sana aniambie, karibu sana.