Mwenye Kujua channel inayoonesha SportPesa supercup

Hovyo kabisa hawa waandaji wa mashindano. Unawapa haki ya kurusha mpira TV za zenye kamera za taarifa za habari?

1. Mwaka jana mliwachukua ITV hivi uliwahi kuona wapi wakionyesha mpira live?

2. Mwaka huu baada ya kuona picha ni ugoro za star tv nikatafuta KBC mambo ni yale yale

3. Kwani anaona aibu kuwakabidhi AZAM ambao ni mabingwa na wanavifaa ya kisasa vya kurusha mashindano hayo?

4. Yaani mnaona raha kutuonyesha machenga na sauti mbovu za enzi za stone age?
 
AZAM TV hawawezi kuonyesha mpira uliodhaminiwa na wacheza kamari Sports Pesa, na hata timu yao haiwezi kudhaminiwa na sports pesa au kushiriki michuano ya sports pesa
 
Mbona JKU wameshiriki?
 
Hovyo kabisa hawa waandaji wa mashindano. Unawapa haki ya kurusha mpira TV za zenye kamera za taarifa za habari?

1. Mwaka jana mliwachukua ITV hivi uliwahi kuona wapi wakionyesha mpira live?

2. Mwaka huu baada ya kuona picha ni ugoro za star tv nikatafuta KBC mambo ni yale yale

3. Kwani anaona aibu kuwakabidhi AZAM ambao ni mabingwa na wanavifaa ya kisasa vya kurusha mashindano hayo?

4. Yaani mnaona raha kutuonyesha machenga na sauti mbovu za enzi za stone age?
Angalia kupitia star focus
 
Back
Top Bottom