Nelson nely
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 4,251
- 2,869
Kbc na k24 afadhaliStartv mbona matangazo yenu yana katakata sana? Tatizo ni nini? Na kwani hamkujiandaa mapema kwa changamoto?
Hovyo kabisa hawa waandaji wa mashindano. Unawapa haki ya kurusha mpira TV za zenye kamera za taarifa za habari?
1. Mwaka jana mliwachukua ITV hivi uliwahi kuona wapi wakionyesha mpira live?
2. Mwaka huu baada ya kuona picha ni ugoro za star tv nikatafuta KBC mambo ni yale yale
3. Kwani anaona aibu kuwakabidhi AZAM ambao ni mabingwa na wanavifaa ya kisasa vya kurusha mashindano hayo?
4. Yaani mnaona raha kutuonyesha machenga na sauti mbovu za enzi za stone age?
Mbona JKU wameshiriki?AZAM TV hawawezi kuonyesha mpira uliodhaminiwa na wacheza kamari Sports Pesa, na hata timu yao haiwezi kudhaminiwa na sports pesa au kushiriki michuano ya sports pesa
Chanel ipi nduguMie naangalia kupitia dstv mkuu.
Jeshi la Kujenga Uchumi,Zanzibar hawana noma na bettingMbona JKU wameshiriki?
Angalia kupitia star focusHovyo kabisa hawa waandaji wa mashindano. Unawapa haki ya kurusha mpira TV za zenye kamera za taarifa za habari?
1. Mwaka jana mliwachukua ITV hivi uliwahi kuona wapi wakionyesha mpira live?
2. Mwaka huu baada ya kuona picha ni ugoro za star tv nikatafuta KBC mambo ni yale yale
3. Kwani anaona aibu kuwakabidhi AZAM ambao ni mabingwa na wanavifaa ya kisasa vya kurusha mashindano hayo?
4. Yaani mnaona raha kutuonyesha machenga na sauti mbovu za enzi za stone age?
K24 ndiyo iko clearAngalia kupitia star focus