Mwenye kujua hatua Za Kufanya ili uwe wakala wa m pesa tigo pesa nk

Mwenye kujua hatua Za Kufanya ili uwe wakala wa m pesa tigo pesa nk

Mzee wa kusawazisha

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2016
Posts
1,601
Reaction score
1,172
Wakuu Natumai wazima naweza kua wakala na nini risk yake na Faida yake na mtaji inabidi uanze na kiasi gani cha pesa?
 
Back
Top Bottom