Ok, ngoja tusubiri wajuzimh..hata mimi nataka kujua maana niliwahi kualikwa na mshirika wao ila sikwenda
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahah..! Nikajua u mteja wao, kumbe kanjanja na tapeli na hiyo biashara mtandao, sasa umeanza kutoa maelezo kama mteja wao kisha mara madaktari wetu, ooh mara wanatoa tpur za nje, mata upanuke kibiashara shenzi kabisaaa.Habari
Hawa Eternal international sio matapeli wanapima kwa sh 10,000 na kukupa ushauri bure na unanunua dawa kwao kwani hata mm nimepima pale na ni mwanachama wao wa muda mrefu ndugy yangu kama unataka kupima magonjwa na kupata ushauri bure toka kwa madaktari wetu na vilevile ukiwa mwanachama utapata fursa za kupanuka kibiashara zaidi, utapata safari za kutour nje ya nchi, na kuuza bidhaa zao pia na mambo mengi zaidi
tupo kinondoni moroko karibu sana
Ila wewe kama wakala wao uwezi ueleza ukweli, unazunguka sanaHabari
Hawa Eternal international sio matapeli wanapima kwa sh 10,000 na kukupa ushauri bure na unanunua dawa kwao kwani hata mm nimepima pale na ni mwanachama wao wa muda mrefu ndugy yangu kama unataka kupima magonjwa na kupata ushauri bure toka kwa madaktari wetu na vilevile ukiwa mwanachama utapata fursa za kupanuka kibiashara zaidi, utapata safari za kutour nje ya nchi, na kuuza bidhaa zao pia na mambo mengi zaidi
tupo kinondoni moroko karibu sana
mm ni mwanachama wao ndugu ukitaka kuja njoo kinondoni moroko ndo tupo utajua yote hapo
Habari
Hawa Eternal international sio matapeli wanapima kwa sh 10,000 na kukupa ushauri bure na unanunua dawa kwao kwani hata mm nimepima pale na ni mwanachama wao wa muda mrefu ndugy yangu kama unataka kupima magonjwa na kupata ushauri bure toka kwa madaktari wetu na vilevile ukiwa mwanachama utapata fursa za kupanuka kibiashara zaidi, utapata safari za kutour nje ya nchi, na kuuza bidhaa zao pia na mambo mengi zaidi
tupo kinondoni moroko karibu sana
hahahaaaaaa mkuu usikasirike kwa wengine kukusumbua kiasi hicho pole sana kwa usumbufu huo ila karibu moroko jengo la airtel ndo tupo hapo maswali yako yote utajibiwa hapo karibu sanaTatizo mnasumbua sana...yaani kila siku mnanipigia simu.....kuna maswali niliwauliza mpaka leo hamjanijibu ndiyo maana sasa sipokei simu zenu
[emoji4] [emoji4] [emoji4] ndani kwa ndani? !! Kwani huwa inaozea nje nmecheka sana aseeKuna mtu aliniambia kuwa siku iyo hakuwa anaumwa ata chembe ila akapita hapo ofisini kupima ila akawadanganya kuwa anasumbuliwa na ini, ila hajawai kuhumwa ini
Wakatoa lipoti yao wakimuambia kuwa ini inaoza ndani kwa ndani, je kuna ukweli hapa
Sent using Jamii Forums mobile app