Mwenye kujua kampuni ya "Enternal international "

kikoozi

JF-Expert Member
Joined
Jun 24, 2015
Posts
2,094
Reaction score
3,108
Habarini za asubuhi ndugu zangu

Kuna kampuni inajiita enternal international wanajishughulisha na kupima mwili mzima kwa sh elfu 10 kisha wanakuuzia dawa

Hii kampuni ni network marketing ila wao wana deal na wagonjwa tu

Mwenye kuijua anahabarishie nisije ingia kwenye mikono ya mataperi

Asanteni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari

Hawa Eternal international sio matapeli wanapima kwa sh 10,000 na kukupa ushauri bure na unanunua dawa kwao kwani hata mm nimepima pale na ni mwanachama wao wa muda mrefu ndugy yangu kama unataka kupima magonjwa na kupata ushauri bure toka kwa madaktari wetu na vilevile ukiwa mwanachama utapata fursa za kupanuka kibiashara zaidi, utapata safari za kutour nje ya nchi, na kuuza bidhaa zao pia na mambo mengi zaidi
tupo kinondoni moroko karibu sana
 
Hahah..! Nikajua u mteja wao, kumbe kanjanja na tapeli na hiyo biashara mtandao, sasa umeanza kutoa maelezo kama mteja wao kisha mara madaktari wetu, ooh mara wanatoa tpur za nje, mata upanuke kibiashara shenzi kabisaaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari

Hawa Eternal international sio matapeli wanapima kwa sh 10,000 na kukupa ushauri bure na unanunua dawa kwao kwani hata mm nimepima pale na ni mwanachama wao wa muda mrefu ndugy yangu kama unataka kupima magonjwa na kupata ushauri bure toka kwa madaktari wetu na vilevile ukiwa mwanachama utapata fursa za kupanuka kibiashara zaidi, utapata safari za kutour nje ya nchi, na kuuza bidhaa zao pia na mambo mengi zaidi
tupo kinondoni moroko karibu sana
Ila wewe kama wakala wao uwezi ueleza ukweli, unazunguka sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari

Hawa Eternal international sio matapeli wanapima kwa sh 10,000 na kukupa ushauri bure na unanunua dawa kwao kwani hata mm nimepima pale na ni mwanachama wao wa muda mrefu ndugy yangu kama unataka kupima magonjwa na kupata ushauri bure toka kwa madaktari wetu na vilevile ukiwa mwanachama utapata fursa za kupanuka kibiashara zaidi, utapata safari za kutour nje ya nchi, na kuuza bidhaa zao pia na mambo mengi zaidi
tupo kinondoni moroko karibu sana

Tatizo mnasumbua sana...yaani kila siku mnanipigia simu.....kuna maswali niliwauliza mpaka leo hamjanijibu ndiyo maana sasa sipokei simu zenu
 
hahahaaaaaa mkuu usikasirike kwa wengine kukusumbua kiasi hicho pole sana kwa usumbufu huo ila karibu moroko jengo la airtel ndo tupo hapo maswali yako yote utajibiwa hapo karibu sana
 
Kuna mtu aliniambia kuwa siku iyo hakuwa anaumwa ata chembe ila akapita hapo ofisini kupima ila akawadanganya kuwa anasumbuliwa na ini, ila hajawai kuhumwa ini

Wakatoa lipoti yao wakimuambia kuwa ini inaoza ndani kwa ndani, je kuna ukweli hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikua Na wazo la kuanzisha Uzi Kama huu Ila Afadhali Umenisaidia nami nataka kujua Ukweli kuhusu hawa jamaa, ila Sina mpango wa kujiunga ila nataka nijue Kama jamaa yangu kalizwa au vipii!! Kajitahidi Sana kunishawishi nikajiunge nao!!
 
Kuna mtu aliniambia kuwa siku iyo hakuwa anaumwa ata chembe ila akapita hapo ofisini kupima ila akawadanganya kuwa anasumbuliwa na ini, ila hajawai kuhumwa ini

Wakatoa lipoti yao wakimuambia kuwa ini inaoza ndani kwa ndani, je kuna ukweli hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji4] [emoji4] [emoji4] ndani kwa ndani? !! Kwani huwa inaozea nje nmecheka sana asee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom