Mwenye kujua makadirio ya kodi kwa wakala wa M-Pesa

Mwenye kujua makadirio ya kodi kwa wakala wa M-Pesa

Joined
Dec 12, 2019
Posts
7
Reaction score
40
Habari wadau wa JF,

Naomba kufahamishwa makadirio ya kodi kwa mwezi kwa mawakala wa huduma za kifedha kwa mitandao ya simu mfano M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money n.k

Mfano mtaji wa laki tano kwa wakala huyo. Asante.
 
Unazungumzoa kodi ipi, inayokatwa kweny malipo ya kamisheni au Kodi ya lesen ya biashara ya halmashauri!?
 
Back
Top Bottom