Mwenye kujua matokeo ya Serengeti boys na Shelisheli!

Mwenye kujua matokeo ya Serengeti boys na Shelisheli!

Maajabu timu kutoka Tanzania kushinda 6 - 0, au walicheza na timu ya wanawake?
 
Lakini sijui huwa wanaishia wapi hawa watoto. Kuna kile kikosi cha watoto kilichochukua kombe la dunia sijui saivi kiko wapi.
Hakuna mfumo mzuri wa kusimamia Soka la Vijana.
 
Mchezo unaofuata wanakutana na S.Africa...
 
Hongera Jamal Malinzi na kikosi chako kwa kutuonyesha kuwa mafanikio ya kweli yanaanzia kwenye misingi
 
Malinzi na TFF yako, mmejitahidi sana kwa kuipa maandalizi mazuri hii timu.
 
Malinzi na TFF yako, mmejitahidi sana kwa kuipa maandalizi mazuri hii timu.
Lakini waache ubabaishaji na kuanzisha figisufigisu zisizo na msingi kwenye vilabu ambavyo ndiyo vinaweza kuwachukua na kuwalea maana sina hakika kama TFF inaweza kukaa nao hadi mwisho wa soka lao.
 
Back
Top Bottom