Kwa wale wapenzi wa nyimbo za EDM kuna mkali mwingine anazalisha mangoma kama ya Alan Walker anitajie maana ukiacha ngoma za kusikitisha ngoma nyingine ninazozielewa ni EDM..
Mkuu mbona Kama Alan walker ana list kubwa na Kali cheki hizi
👉Spectre,away,faded,
👉Unity,lost control, on my way
👉Sing me to sleep, sad sometimes
👉unity, alone 1, alone 2,
👉Darkside,
👉Dreamed - new song 2023
Mkuu mbona Kama Alan walker ana list kubwa na Kali cheki hizi
👉Spectre,away,faded,
👉Unity,lost control, on my way
👉Sing me to sleep, sad sometimes
👉unity, alone 1, alone 2,
👉Darkside,
👉Dreamed - new song 2023