Shekel Empire
Member
- Apr 8, 2014
- 27
- 11
Tandale kwa uzuri na big broza.
Kuna Mmarekani mmoja ame base Dubai lakini analeta Mitumba toka US,UK na Thailand namba yake ni +971566414978 kuna kipindi aliniambia anatafuta sana afungue tawi Tanzania,kama upo interested mtafute,ata kwenye Whatsapp yupo.
Israel pana maduka mazuri ya kuuza nguo za mitumba. Ukibahatika kufika Israel, tembelea maduka yaitwayo thrift store. Humo kuna nguo karibia mpya tupu ambazo either zilikuwa zimebaki wakati wa summer au winter katika maduka makuu ya nguo kama mercy au Yonkers au JC penny.Wanajukwaa naomba anayejua nchi inayouza mitumba mizuri ya nguo;nataka nifanye biashara hiyo kuanzia mwezi mei 2014
tanganyika.umeambiwa nchi!
Asante sana;ngoja nimchek kesho asubuhi kwenye hiyo contactKuna Mmarekani mmoja ame base Dubai lakini analeta Mitumba toka US,UK na Thailand namba yake ni +971566414978 kuna kipindi aliniambia anatafuta sana afungue tawi Tanzania,kama upo interested mtafute,ata kwenye Whatsapp yupo.