Mwenye kujua nchi zinazouza nguo nzuri za mitumba

Shekel Empire

Member
Joined
Apr 8, 2014
Posts
27
Reaction score
11
Wanajukwaa naomba anayejua nchi inayouza mitumba mizuri ya nguo;nataka nifanye biashara hiyo kuanzia mwezi mei 2014
 
Hata sijuhi ngoja waje wanaojua ba mimi nifaidike ,na muelezee pia upatikanaji wake
 
Kuna Mmarekani mmoja ame base Dubai lakini analeta Mitumba toka US,UK na Thailand namba yake ni +971566414978 kuna kipindi aliniambia anatafuta sana afungue tawi Tanzania,kama upo interested mtafute,ata kwenye Whatsapp yupo.
 
Je jamaa nakukubaligi sana...design unatemaga madini. Keep it up. Aliyeko serious acheck na hyo contact hapo juu. So analetaga mizigo hapa TZ ?? Na mitumba yake ni grade gan ??
 
My God! Nanusa harufu ya huyo mmarekani kutapeliwa! Bongo hii...mmh!
 
Wanajukwaa naomba anayejua nchi inayouza mitumba mizuri ya nguo;nataka nifanye biashara hiyo kuanzia mwezi mei 2014
Israel pana maduka mazuri ya kuuza nguo za mitumba. Ukibahatika kufika Israel, tembelea maduka yaitwayo thrift store. Humo kuna nguo karibia mpya tupu ambazo either zilikuwa zimebaki wakati wa summer au winter katika maduka makuu ya nguo kama mercy au Yonkers au JC penny.
 
Kuna Mmarekani mmoja ame base Dubai lakini analeta Mitumba toka US,UK na Thailand namba yake ni +971566414978 kuna kipindi aliniambia anatafuta sana afungue tawi Tanzania,kama upo interested mtafute,ata kwenye Whatsapp yupo.
Asante sana;ngoja nimchek kesho asubuhi kwenye hiyo contact
 
Back
Top Bottom