Mwenye kujua sababu za goli la Singida FG kukataliwa atueleze

Nimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.

Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Natanguliza shukrani
Refa ndo kila kitu sisi akina nani hadi tupinge
 
Tushaswma San wanawake hawafai ktk kuchezesha mipira ila bado wanawajaza Kama vip ligi iwe ya wanawake Basi

Kina Martin saanya alikuwa refa Bora Sana ila siku hz wamemuacha
 
Aaaaah mambo hayaeleweki
 
Kuna refa gani aliyewahi kuchezesha mechi za CAF au za FIFA katika miaka 10 iliyopita kwenye michezo ya wanaweka na wanaume au hata kuwa Assistant refree? Mechi za FIFA za world cup ya wanawake mwaka 2009 Kenya na Rwanda walitoa mwarefarii, kwenye mechi za FIFA za world cup mwaka 2023, Rwanda ilitoa refree mmoja. Tanzania haijawahi kutoa.
 
Nakuelewa
 
Nimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.

Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Natanguliza shukrani
pesa
 
Repeating the same thing over and over and over expecting different results is insanity

Muone dokta wa kichwa my sister
 
Nimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.

Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Natanguliza shukrani
Ubingwa unatafutwa Kwa udi na uvumba

Yanga anachotakiwa kufanya na kuupiga mwingi kimataifa,Nina wasiwasi hataupata ubingwa kama Hali hii ikiendelea
 
Kuibeba Simba ni kama mtu aliyeba mzoga, una vumilia harufu lakini kuna muda inzi watakua wengi utatupa zigo na kukimbia.

Marefa wanajitahidi kwasasa kuvumilia harufu lakini muda si mrefu zigo watalitupa.
Tarehe 20 siyo mbali
 
Repeating the same thing over and over and over expecting different results is insanity

Muone dokta wa vichaa my sister
Dharau haitakusaidia maishani. Pia jitahidi kuficha level ya uelewa uliyonayo. Ni aibu kwa welevu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…