Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Ihefu sio watu wazuri kwa kweli 😂Gape la 3 linawapa kiwewe,,
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ihefu sio watu wazuri kwa kweli 😂Gape la 3 linawapa kiwewe,,
Refa ndo kila kitu sisi akina nani hadi tupingeNimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.
Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Natanguliza shukrani
Jaribu kurudia mara ya 21, kuna mabadilikoNimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio,
SawaJaribu kurudia mara ya 21, kuna mabadiliko
Ni kweliRefa ndo kila kitu sisi akina nani hadi tupinge
Huu pia ni mchango kwenye mada husika?Ihefu sio watu wazuri kwa kweli [emoji23]
Ukirudia anzisha uzi mwingineSawa
Yeah, maana hasira hizi ni muendelezo wa yaliyotokea kwenye mashamba ya mpungaHuu pia ni mchango kwenye mada husika?
Huwa inaanza 1 , 3 hatimaye 6 zkifika 10, wataanza press 🤣Ihefu sio watu wazuri kwa kweli 😂
SawaYeah, maana hasira hizi ni muendelezo wa yaliyotokea kwenye mashamba ya mpunga
Aaaaah mambo hayaelewekiTushaswma San wanawake hawafai ktk kuchezesha mipira ila bado wanawajaza Kama vip ligi iwe ya wanawake Basi
Kina Martin saanya alikuwa refa Bora Sana ila siku hz wamemuacha
NakuelewaKuna refa gani aliyewahi kuchezesha mechi za CAF au za FIFA katika miaka 10 iliyopita kwenye michezo ya wanaweka na wanaume au hata kuwa Assistant refree? Mechi za FIFA za world cup ya wanawake mwaka 2009 Kenya na Rwanda walitoa mwarefarii, kwenye mechi za FIFA za world cup mwaka 2023, Rwanda ilitoa refree mmoja. Tanzania haijawahi kutoa.
pesaNimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.
Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Natanguliza shukrani
Repeating the same thing over and over and over expecting different results is insanityNimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.
Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Natanguliza shukrani
Labda kipa alitoka na pia akahesbiwa mchezaji kama kipa then yule bwana akajikuta yupo offside
Ubingwa unatafutwa Kwa udi na uvumbaNimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.
Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Natanguliza shukrani
Tarehe 20 siyo mbaliKuibeba Simba ni kama mtu aliyeba mzoga, una vumilia harufu lakini kuna muda inzi watakua wengi utatupa zigo na kukimbia.
Marefa wanajitahidi kwasasa kuvumilia harufu lakini muda si mrefu zigo watalitupa.
Dharau haitakusaidia maishani. Pia jitahidi kuficha level ya uelewa uliyonayo. Ni aibu kwa welevuRepeating the same thing over and over and over expecting different results is insanity
Muone dokta wa vichaa my sister