King Mswat 11
JF-Expert Member
- May 24, 2023
- 207
- 319
Na mwenye kujua ile faulo aliechezewa kibu na beki wa mwisho je haikuwa red card mwenye kujua atuambie tafaddhali.Nimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.
Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Natanguliza shukrani
Refa ndo aliona offside au line two? Sa refa amekosea wapi kwenye inshu za offside.Kwenye video ni kama mchezaji wa Singida alikuwa offside kabla halafu akaiua akarudi nyuma move ya vipasi ilipotokea akapata mpira akafunga kukiwa na mabeki wawili,sasa sijui refa aliangalia offside ya kabla ila mbona mchezaji aliua akarudi na mpira ukaendelea kwa mda
Acha ushabiki, hukuona last defender wa Singida kamchezea faulo kibu na akapewa Yellow badala ya red, au refa alichukua hela na hapopesa
Kwahiyo zile wwanazo wawekea marefa uwanjani huwa ni za nini?Offside. Kwenye TV huwezi ona
Dirisha la Usajili CAF na TFF limefungwa RASMI niliyoshauri yafanyiwe kazi Simba HAYAJAFANYIKA, Wanasimba mjiandae kisaikolojia
Hellow Wana JF. Dirisha la Usajili la shirikisho la Soka Tanzania TFF na Lile la CAF limefungwa RASMI Jana 31AUGUST 2023. Yale yote niliyoyaomba na Kupendekeza yafanyike ndani ya wekundu WA Msimbazi hayajafanyiwa kazi kwa asilimia 90% Hii imeniuma mno kama shabiki mwanachama na Mfanyakazi wa...www.jamiiforums.com
Hapana ni mchanga.Huu pia ni mchango kwenye mada husika?
Ongeza sauti.Huu pia ni mchango kwenye mada husika?
Pamoja na kuandika kwa kuchanganyikiwa?😂😂😂😂😂Nakuelewa
Atapata presha ya macho bure.Over and over,again?😂😂😂Repeating the same thing over and over and over expecting different results is insanity
Muone dokta wa vichaa my sister
Tafuta dokta unachelewaDharau haitakusaidia maishani. Pia jitahidi kuficha level ya uelewa uliyonayo. Ni aibu kwa welevu
Sio kazi ya refa kuangalia offsideKwenye video ni kama mchezaji wa Singida alikuwa offside kabla halafu akaiua akarudi nyuma move ya vipasi ilipotokea akapata mpira akafunga kukiwa na mabeki wawili,sasa sijui refa aliangalia offside ya kabla ila mbona mchezaji aliua akarudi na mpira ukaendelea kwa mda
Mbaya zaidi game za away anapusua tu tena zile timu walizotarajia mnyama atakwama, bado waoGape la 3 linawapa kiwewe,,
Uko nje ya madaMleta uzi,unajiliza kwa kwikwi ukiwa wapi?[emoji848]
Members kama wewe ni muhimu sana kwenye hili jukwaa. UsipuuzweTafuta dokta unachelewa
Yaani uangalie video ya goli la Simba 20times halafu useme unadharauliwa?
Umejidharau mwenyewe
20 times? Huna cha kufanya? Kakate hata Gogo Basi upoteze focus
20 times? [emoji15][emoji15][emoji15]
hakuuua offside alibaki eneo hilo hilo kabla ya kunufaika na mpira wa pili, tukio hili halizidi sekunde 20 inasemaje waliendelea kucheza??Kwenye video ni kama mchezaji wa Singida alikuwa offside kabla halafu akaiua akarudi nyuma move ya vipasi ilipotokea akapata mpira akafunga kukiwa na mabeki wawili,sasa sijui refa aliangalia offside ya kabla ila mbona mchezaji aliua akarudi na mpira ukaendelea kwa mda
Head to head Yanga kashinda game 39, simba 22.
Watu mna muda wa kuchezea sana. Unarudia zaidi ya mara 20 ili iweje? Kama ni mchambuzi (labda pengine ndio kazi yako), mbona ukirudia mara tano hivi inatosha sana kupata kitu cha kuzungumza? Sasa zaidi ya mara 20 (sio mara 20, ni zaidi ya mara 20), kwamba inawezekana yakatokea mabadiliko?Nimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.