Mwenye kujua sababu za goli la Singida FG kukataliwa atueleze

Mwenye kujua sababu za goli la Singida FG kukataliwa atueleze

Nimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.

Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.

Natanguliza shukrani
Na mwenye kujua ile faulo aliechezewa kibu na beki wa mwisho je haikuwa red card mwenye kujua atuambie tafaddhali.
 
Kwenye video ni kama mchezaji wa Singida alikuwa offside kabla halafu akaiua akarudi nyuma move ya vipasi ilipotokea akapata mpira akafunga kukiwa na mabeki wawili,sasa sijui refa aliangalia offside ya kabla ila mbona mchezaji aliua akarudi na mpira ukaendelea kwa mda
Refa ndo aliona offside au line two? Sa refa amekosea wapi kwenye inshu za offside.
Pia mnakumbuka msimu jana mlivyocheza na Geita je ile ilikuwa penati na vipi simba walivyolalamika majibu yenu yalikuwaje? Sasa kaa kwa kutulia ukitaka andika bango kubwa likisomeka SIMBA ANABEBWA NA MAREFA livae utembee naloo
 
UONGOZI WA Simba ni Mbovu Sana.
Hawaelewi Wala hawasikii ushauri,
Wanatimu mbovu mno.

Timu Yao ni Tia maji Tia maji.
Manula anaumia unaenda kuokota AYUBU mdaka panzi( Ili uwaibie Simba Fedha za super cup)

Mizigo mingine ya kuanza kuipunguza.

1. AYOUB Lakred
2. Sadio Kanute.
3. Aubin kramo.
4. Essomba Onana.
5. Luis MIQUISSONE.
6. Moses phili.
7. Saido Ntibazonkiza.
 
Dharau haitakusaidia maishani. Pia jitahidi kuficha level ya uelewa uliyonayo. Ni aibu kwa welevu
Tafuta dokta unachelewa

Yaani uangalie video ya goli la Simba 20times halafu useme unadharauliwa?

Umejidharau mwenyewe

20 times? Huna cha kufanya? Kakate hata Gogo Basi upoteze focus

20 times? 😳😳😳
 
Kwenye video ni kama mchezaji wa Singida alikuwa offside kabla halafu akaiua akarudi nyuma move ya vipasi ilipotokea akapata mpira akafunga kukiwa na mabeki wawili,sasa sijui refa aliangalia offside ya kabla ila mbona mchezaji aliua akarudi na mpira ukaendelea kwa mda
Sio kazi ya refa kuangalia offside
 
Tafuta dokta unachelewa

Yaani uangalie video ya goli la Simba 20times halafu useme unadharauliwa?

Umejidharau mwenyewe

20 times? Huna cha kufanya? Kakate hata Gogo Basi upoteze focus

20 times? [emoji15][emoji15][emoji15]
Members kama wewe ni muhimu sana kwenye hili jukwaa. Usipuuzwe
 
Kwenye video ni kama mchezaji wa Singida alikuwa offside kabla halafu akaiua akarudi nyuma move ya vipasi ilipotokea akapata mpira akafunga kukiwa na mabeki wawili,sasa sijui refa aliangalia offside ya kabla ila mbona mchezaji aliua akarudi na mpira ukaendelea kwa mda
hakuuua offside alibaki eneo hilo hilo kabla ya kunufaika na mpira wa pili, tukio hili halizidi sekunde 20 inasemaje waliendelea kucheza??
 
Nimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.
Watu mna muda wa kuchezea sana. Unarudia zaidi ya mara 20 ili iweje? Kama ni mchambuzi (labda pengine ndio kazi yako), mbona ukirudia mara tano hivi inatosha sana kupata kitu cha kuzungumza? Sasa zaidi ya mara 20 (sio mara 20, ni zaidi ya mara 20), kwamba inawezekana yakatokea mabadiliko?
 
Back
Top Bottom