team Yako haiwezi kushindana na simba kwa pesa ya kukopa kuendesha budget ya club , hayo mashindano yaanze tuone nani mshindi.Match ya 5 kwenye ligi gape la points 3 ni nothing,kikubwa tunaweka mambo sawa kila mtu ajiridhishe kinachofanyika ili na sisi tuache mpira tufanye kama haya wanayofanya wenzetu halafu mwisho wa siku tuone nani atalia
Uzuri tunapokezana hizi lawama. Uto bhana walijua kabisa hawawezi kufungwa.Wengine tulishajiaandaa kisaikorojia hiki kinachoendelea kutengenezea simba mazingira ya ubingwa.
Fuatilia mechi za simba kuanzia Ngao ya jamii. Ni aibu.
Mbozi tena mmmhSio ubingwa, hata nafasi ya tatu mkiipata shukuruni mungu mbuzi nyie na bado hamjasema [emoji23][emoji23]
Mada hamuijadili. Ni nongwa tu. DaaaahUzuri tunapokezana hizi lawama. Uto bhana walijua kabisa hawawezi kufungwa.
Inakuaje hujui sababu halafu unalaumu!
Au tatizo la afya ya akili linakusumbua.
Kamuulize refa.
Gape la 3 linawapa kiwewe,,
Mechi na mtibwa singida walibebwa ..Nimerudia zaidi ya mara 20 kutazama hili tukio, lakini sijaona sababu za kukataliwa kwa goli la Singida FG.
Kwakuwa humu JF kuna wabobezi wa sheria ya offside, ni vema tupeane elimu kwa manufaa ya vizazi vijavyo.
Natanguliza shukrani
Nini cha ajabu? Wewe unafikiri ni kwanini VAR ziliwekwa?Kwenye video ni kama mchezaji wa Singida alikuwa offside kabla halafu akaiua akarudi nyuma move ya vipasi ilipotokea akapata mpira akafunga kukiwa na mabeki wawili,sasa sijui refa aliangalia offside ya kabla ila mbona mchezaji aliua akarudi na mpira ukaendelea kwa mda
Komenti Bora sana. Marefa kufanya makosa bila ya kujijua kama wamefanya kosa ndiyo chanzo cha kuwepo kwa VAR.Nini cha ajabu? Wewe unafikiri ni kwanini VAR ziliwekwa?
Kwenye hii mada kuna lawama yoyote kwa waamuzi? Mada inataka ufafanuzi wa tukioKomenti Bora sana. Marefa kufanya makosa bila ya kujijua kama wamefanya kosa ndiyo chanzo cha kuwepo kwa VAR.
Mtu anaangalia tukio mara 20 Kwa kurudiarudia halafu anatakaje afanane na Refa aliyeona tukio chini ya sekunde kadhaa.
inaposemwa marefa wa kike kuwa huwa wanaipendelea Simba siyo lawama hizo?Kwenye hii mada kuna lawama yoyote kwa waamuzi? Mada inataka ufafanuzi wa tukio
Mleta mada ni mimi. Wapi nimewalaumu marefa?1inaposemwa marefa wa kike kuwa huwa wanaipendelea Simba siyo lawama hizo?