Mwenye kujua soko la ufuta

Mwenye kujua soko la ufuta

karugila

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2014
Posts
1,275
Reaction score
685
Tafadhali nataka kujua soko na bei ya kilo mwaka huu tafadhali maana huku mambo yanaanza kuiva tayari
 
Soko la ndani Abasi Exports na Mohamed Enterprises watanunua mara moja lakini kwa bei watakayojipangia wao.
Soko la nje lipo mashariki ya kati na ulaya mashariki,google price index utapata bei elekezi kwa tani,au nenda wizara ya viwanda na biasha ,export promotion watakupa bei elekezi,
 
Sawa kaka bas tunamuomba waziri wa viwanda na biashara watoe wazi bei elekezi mapema ili tupate bei nzuri
 
Tafadhali nataka kujua soko na bei ya kilo mwaka huu tafadhali maana huku mambo yanaanza kuiva tayari
we unalimia wapi mwenzetu unakaribia kuvuna,mimi ndio najiandaa kufukia mbegu kimanzichana
 
Back
Top Bottom