Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dada kabla ya kufikia hitimisho la kwenda hospitali ni pm kwani nilishamsaidia dada ambaye alikuwa na shida kama yako na sasa ana watoto wawili na ndoa inaendelea swafi.haloo wana jf, nimeolewa ila nimetafuta mtoto na mume wangu naona majibu sio. Sasa tunataka kwenda hospital tukaangalie tatizo ni nini. Mwenye kujua hospital au daktari ambaye tunaweza kumuona tafadhali.
pole sana dada, je umeshawahi kuwa na chango la uzazi either wewe au mme wako? Km chango nitafute tena hua linasumbua wengi mno.Haloo wana jf, nimeolewa ila nimetafuta mtoto na mume wangu naona majibu sio. Sasa tunataka kwenda hospital tukaangalie tatizo ni nini. Mwenye kujua hospital au daktari ambaye tunaweza kumuona tafadhali.
Mnh! huko kizani mara nyingi si kwema. Kwa nini msiongelee hapahapa nasi tukapata somo?okay ngoja nikupm.
Nenda Hospitali kuu ya rufaa Muhimbili huko Kuna Wataalamu zaidi kuliko Hospitali yoyote hapo Mjini Dares-Salaam.Haloo wana jf, nimeolewa ila nimetafuta mtoto na mume wangu naona majibu sio. Sasa tunataka kwenda hospital tukaangalie tatizo ni nini. Mwenye kujua hospital au daktari ambaye tunaweza kumuona tafadhali.
ila pale muhimbili kuna daktari unamjua ambaye yuko specialized kwa hii mambo. maana unaweza ukazungushwa mpaka. nikishajua nitafata procedures ila nitapenda na yeye nikutane nae just in case.Nenda Hospitali kuu ya rufaa Muhimbili huko Kuna Wataalamu zaidi kuliko Hospitali yoyote hapo Mjini Dares-Salaam.
Mkuu mbona unapenda usiri?? Mjibu jukwaani na wadau wengine wajifunze......!!dada kabla ya kufikia hitimisho la kwenda hospitali ni pm kwani nilishamsaidia dada ambaye alikuwa na shida kama yako na sasa ana watoto wawili na ndoa inaendelea swafi.
Hospitali ya Muhimbili ninavyojuwa mimi sehemu mbili ya kwanza ya kulipia na ya pili ya bure nenda sehemu ya kulpia utapata matitabu mazuri usiende sehemu ya bure hutopatamatibabu mazuri huo ndio ushauri wangu.ila pale muhimbili kuna daktari unamjua ambaye yuko specialized kwa hii mambo. maana unaweza ukazungushwa mpaka. nikishajua nitafata procedures ila nitapenda na yeye nikutane nae just in case.
ila pale muhimbili kuna daktari unamjua ambaye yuko specialized kwa hii mambo. maana unaweza ukazungushwa mpaka. nikishajua nitafata procedures ila nitapenda na yeye nikutane nae just in case.
Mkuu mbona unapenda usiri?? Mjibu jukwaani na wadau wengine wajifunze......!!
Nenda pale kuna jengo linaitwa New Opd, ulizia sehemu ya kulipia ippm aafu ukiulizwa daktari sema Dr Kalanga ni specialist wa mambo ya infertility. Achana na hao wanaotaka uwa PM, kama wana elimu yenye manufaa waitoe kweupe kwa manufaa ya wengi. Usisahau feedback!!
Nenda pale kuna jengo linaitwa New Opd, ulizia sehemu ya kulipia ippm aafu ukiulizwa daktari sema Dr Kalanga ni specialist wa mambo ya infertility. Achana na hao wanaotaka uwa PM, kama wana elimu yenye manufaa waitoe kweupe kwa manufaa ya wengi. Usisahau feedback!!
asante kwa taarifa. nitafanya hivyo.Hospitali ya Muhimbili ninavyojuwa mimi sehemu mbili ya kwanza ya kulipia na ya pili ya bure nenda sehemu ya kulpia utapata matitabu mazuri usiende sehemu ya bure hutopatamatibabu mazuri huo ndio ushauri wangu.