Mwenye kujua tafadhali

Mwenye kujua tafadhali

Double K

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
907
Reaction score
342
Haloo wana jf, nimeolewa ila nimetafuta mtoto na mume wangu naona majibu sio. Sasa tunataka kwenda hospital tukaangalie tatizo ni nini. Mwenye kujua hospital au daktari ambaye tunaweza kumuona tafadhali.
 
haloo wana jf, nimeolewa ila nimetafuta mtoto na mume wangu naona majibu sio. Sasa tunataka kwenda hospital tukaangalie tatizo ni nini. Mwenye kujua hospital au daktari ambaye tunaweza kumuona tafadhali.
dada kabla ya kufikia hitimisho la kwenda hospitali ni pm kwani nilishamsaidia dada ambaye alikuwa na shida kama yako na sasa ana watoto wawili na ndoa inaendelea swafi.
 
Haloo wana jf, nimeolewa ila nimetafuta mtoto na mume wangu naona majibu sio. Sasa tunataka kwenda hospital tukaangalie tatizo ni nini. Mwenye kujua hospital au daktari ambaye tunaweza kumuona tafadhali.
pole sana dada, je umeshawahi kuwa na chango la uzazi either wewe au mme wako? Km chango nitafute tena hua linasumbua wengi mno.
 
Nenda Hospitali kuu ya rufaa Muhimbili huko Kuna Wataalamu zaidi kuliko Hospitali yoyote hapo Mjini Dares-Salaam.
 
Chango ndio linakuwaje?
 
Nenda Hospitali kuu ya rufaa Muhimbili huko Kuna Wataalamu zaidi kuliko Hospitali yoyote hapo Mjini Dares-Salaam.
ila pale muhimbili kuna daktari unamjua ambaye yuko specialized kwa hii mambo. maana unaweza ukazungushwa mpaka. nikishajua nitafata procedures ila nitapenda na yeye nikutane nae just in case.
 
Hospitali ya Muhimbili ninavyojuwa mimi sehemu mbili ya kwanza ya kulipia na ya pili ya bure nenda sehemu ya kulpia utapata matitabu mazuri usiende sehemu ya bure hutopatamatibabu mazuri huo ndio ushauri wangu.
 
Nenda pale kuna jengo linaitwa New Opd, ulizia sehemu ya kulipia ippm aafu ukiulizwa daktari sema Dr Kalanga ni specialist wa mambo ya infertility. Achana na hao wanaotaka uwa PM, kama wana elimu yenye manufaa waitoe kweupe kwa manufaa ya wengi. Usisahau feedback!!
 
Mkuu mbona unapenda usiri?? Mjibu jukwaani na wadau wengine wajifunze......!!

Hawa ndio wanat ..mb.. wake za watu na kuwatia mimba na kudai alimpa dawa. Siku hizi hata waganga wa kienyeji wanaweza kugoogle mf rahabu, ndodi etc
 
Nenda pale kuna jengo linaitwa New Opd, ulizia sehemu ya kulipia ippm aafu ukiulizwa daktari sema Dr Kalanga ni specialist wa mambo ya infertility. Achana na hao wanaotaka uwa PM, kama wana elimu yenye manufaa waitoe kweupe kwa manufaa ya wengi. Usisahau feedback!!

Asante sana.
 
feedback nitawaletea ndugu zangu. itabidi kesho asubuhi tuanzie huko na mr. thanks much.
 
Hospitali ya Muhimbili ninavyojuwa mimi sehemu mbili ya kwanza ya kulipia na ya pili ya bure nenda sehemu ya kulpia utapata matitabu mazuri usiende sehemu ya bure hutopatamatibabu mazuri huo ndio ushauri wangu.
asante kwa taarifa. nitafanya hivyo.
 
Back
Top Bottom