Mwenye kujua umri wa Wema Sepetu

chizcom

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2016
Posts
8,680
Reaction score
18,035
Yani huyu sijui ni muweke kwenye kikundi gani cha wasichana, dada, mama, watuwazima au wakongwe.

Bado naona yupo kwenye ujana tu na vijana. Leo nikitafakari umri wetu na wale waliokuwa mpaka wana watoto wapo shule za msingi, sekondari na vyuo.

Ina maana umri tumeletewa au tunazeeka wachache nchi ila wasanii hapana.

 
Wema Sepetu amezaliwa mwaka 1990. Nina uhakika na hili, taarifa hii nilipenyezewa na classmate wake (binamu yangu) waliyesoma naye Academic International School.

Huyo binamu yangu naye alitamani kwenda Miss Tanzania kikwazo ikawa umri mdogo. Alisema Wema alidanganya umri ili ashiriki. Hata Mange aliwahi sema hii kitu.
 
Wema ni miss Tz mwaka 2006, kwahiyo alikuwa na miaka 16
 
So alipata u miss Tanzania akiwa na miaka mingapi?

Hakuna kitu kama hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…