Mwenye kujua umri wa Wema Sepetu

Ana miaka 24. Kwani kuna shida?
 

Mkuu usibishane sana na watu

Hizo controversies za wema kuwa underage wakati anashiriki miss Tz zilikuwepo muda tu na wapo wengine kama Nelly kamwelu nae inasemekana alipandisha umri

Mwingine anakubishia kwa kuweka jina la mange wakati yeye ndiye aliemvumbua kipindi hicho anaandaa mashindano ya Miss Tanzania kwa ngazi za chini kama Miss Dar Indian Ocean alipopitia pia..
Na hamkutoa sepetu peke yake, hata Nancy Sumari na Faraja nyalandu ni products zake kwa hiyo anawajua vizuri

Imagine kama wanawabishia hawa watu, watakuelewa kweli wewe mkuu 🤦🏽‍♂️
 

Mkuu Vijana wa humu ni wabishi sana.

Mimi sifahamiani na Wema lakini nafahamiana at personal levels na baadhi ya marafiki zake na watu aliosoma nao Academic International School.

Kuna mabinti wengine wa hapo Tabata baba yao alikuwa naibu waziri baadae Waziri kipindi cha Kikwete.

Wote hao wanamfahamu Wema vizuri kwa sababu wamesoma nae na Walikuwa wanaongea the same story. Mange mwenyewe aliyemuibua Wema anakwambia aliongeza umri. Wema mwenyewe 2020 alipost akijipongeza kufikisha miaka 30.

Lakini kuna mtu anamuona Wema kwenye TV na Instagram anataka kutubishia watu ambao tumepiga story na watu wanaomfahamu kabla hajawa hata maarufu.
 
Ndio maana nikasema ni kuachana nao. Kuna mtu wema sepetu anachukua miss Tanzania yeye yupo form four lakini kwa kuwa miss tz ilikuwa ni big thing hivyo, anadhani wema ni mkubwa kwake while ni age mates na pengine anamzidi kwa wale waliochelewa kuanza shule

Na wengi hawajui kuwa TV zina tabia za kukuza watu au kuwaonesha kwenye skin tone au urefu tofauti kutokana na screen resolutions, studio lighting etc . Na kwa hawa wanaopaka make up, weka mawigi na nguo za kistar huwa wanakuzwa kimuonekano ila ukikutana nao bila hizo vitu. Ni normal girls kabsaa
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Alidanganya ili ashiriki? Alidanganyaje?? Hebu fafanua.
 
Alitakiwa afafanue huyo wema ali fix miaka kivipi. Ndo tunacho hoji, khaaaaaah.

Nweiii umri wa Wema sio shida zangu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi bhanaaa, lol.
Mbavu cnaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…