Ana miaka 24. Kwani kuna shida?Yani huyu sijui ni muweke kwenye kikundi gani cha wasichana, dada, mama, watuwazima au wakongwe.
Bado naona yupo kwenye ujana tu na vijana. Leo nikitafakari umri wetu na wale waliokuwa mpaka wana watoto wapo shule za msingi, sekondari na vyuo.
Ina maana umri tumeletewa au tunazeeka wachache nchi ila wasanii hapana.
View attachment 2484460