Mwenye kujua utaratibu wa kujiunga JKT anijuze

Mwenye kujua utaratibu wa kujiunga JKT anijuze

ikerege

Member
Joined
Jun 21, 2022
Posts
22
Reaction score
13
Habari wana jamvi,

Jana nimesikia kuwa JKT wanapokea vijana wakujitolea sasa nina kijana naka aende huko.

Je, utaratibu ukoje kwa mwenye taarifa kamili naomba tafadhdli.
 
Habari wana jamvi, jana nimesikia kuwa JKT wanapokea vijana wakujitolea xasa nna kijana naka aende huko
je utaratibu ukoje kwa mwenye taarifa kamili naomba tafadhdli.
Makao makuu wametangaza vijana kujiunga na jkt subiri matangazo kutoka ofisi za mkuu wa wilaya uliyopo ili usome vigezo na masharti yanayohitajika watabandika matangazo hivi karbuni kwenye mbao za matangazo kwenye ofisi za watendaji.
 
sawa mkuu nashukuru kwa taarifa kwa hio ni kwa mtendaji na DC
 
Back
Top Bottom