Habari wana jamvi, jana nimesikia kuwa JKT wanapokea vijana wakujitolea xasa nna kijana naka aende huko
je utaratibu ukoje kwa mwenye taarifa kamili naomba tafadhdli.
Makao makuu wametangaza vijana kujiunga na jkt subiri matangazo kutoka ofisi za mkuu wa wilaya uliyopo ili usome vigezo na masharti yanayohitajika watabandika matangazo hivi karbuni kwenye mbao za matangazo kwenye ofisi za watendaji.