Shukrani Mkuu
samsun kwa ufafanuzi mzuri.. Wacha niongezee kidogo (uongozi wa juu)
Diamond Platnumz - CEO
Sallam - General Manager (Pia ni Manager wa Diamond wa Kimataifa na wasanii wengine wa WCB)
Babu Talle - Manager (wasanii wote WCB lakini anadili zaidi na Diamond)
Said Fella - Manager
Kifesi - Manager 'wasafi studios' (pia ni mpiga picha rasmi wa Diamond)
Q boy - personal assistant na stylist wa Diamond na WCB kwa ujumla.
Ricardomomo - Manager (wasanii wote WCB, anadili zaidi na Harmonize)
Kame boy - Manager (wasanii wote, anadili zaidi na Rayvany)
Huo ni uongozi wa juu, lakini kuna vijana wengine zaidi ya 30 wenye vyeo na shughuli mbali mbali ndani ya WCB.
Kwa mfano;
Lukamba - Videographer
Laizer - Producer
Harmonize, rayvany, queen darleen - (wasanii)
Mose, dummy, zungu, manywele etc - dancers.
Pia wako vijana walioajiriwa kama wapiga vyombo kwenye band.
Wapo vijana kwaajili ya mitandao ya kijamii (mfano almaszambele, issaazam etc)
Pia yuko binti wa Media na Public Relations.
Kwa Ufupi hiyo ndiyo sura ya ofisi ya WCB.
The Bold.